Sunday, June 24, 2012

Kwa kuwa ndani ya kwaya  ya Mt.Jeromekuna wanataaluma tofauti,Mwalimu huyu hakusita kuingia chimbo na kuwatolea nondo z maana kuhusu elimu ya mahusiano na uzazi.Ni mwalimu wa kwaya lakini kumbe amesheheni nondo za maana.Hapa akiteremsha mambo ya Rizaz fakta. kwa wale waliotoroka baiolojia jaa walionekana kidogo wakisinzia huku wengine wakianza kukosa mudi.Big up ticha.
Hapa wanakwaya wa kwaya ya Mt.Jerome wakisikiliza kwa makini jambo kutoka kwa Mwenyekiti wao.

 Hapa Mwenyekiti wa kwaya ya Mt.Jerome akinena jambo wakati wa hafla hiyo fupi.

 Kulifuatiwa pia zoezi la ugawaji wa vyeti ambapo Mgeni rasmi katika hafla hiyo fupi ,Rais wa serikali ya wanafunzi Tumaini Mr.Mauna Chuma aligawa vyeti kwa waagwa ambao ni wanakwaya wa mwaka wa tatu.
 Zoezi likiendelea

 Hapa dada Akwinata alikuja na staili yake kama anavyoonekana tofauti na wengine kidogo

 Dah nitakumiss sana bro!!
" Kaka kweli unaondoka?!"
" Haya kila la kheri bwana!!"
 Ili  itifaki izingatiwe mdada huyu ilibidi apewe vyeti viwili kwa sababu wapo wawili.
 "Dah saaafi sana"
" Hili litakua pozi zuri"


" Subiri tupige kwanza picha ndio uondoke dada"

 Hapa zoezi limekamilika MC.TEMBA anavuta punzi kuendelea na ratiba
 Njoo nikunongoneze kidogo.
 Zoezi likaendelea kama ilivyoratibiwa.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya wakatoliki tumaini hakukaa kimya.
Waziri mkuu naye alikuwemo mjengoni na yeye hakusita kuonyesha hisia zake kwa kijana Maluli.

Saturday, June 23, 2012

Mwenyekiti wa kwaya ya Mt.Jerome akinena jambo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wanakwaya wa mwaka wa tatu ambaowanakaribia kumaliza chuo.
Hapa nipo na kijana wangu ambaye anaamini katika kufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma.Solomon Lekui Kulia kushoto ni John Alex(MWANAHABARI HALISI)
 Mimi ni John Alex.Nachukua shahada yangu ya kwanza ya uandishi wa habari lakini pia naitumia taaluma yangu.Naipenda sana kazi yangu.Kila kukicha napata mawazo mapya  ya namna gani nitaifanya kazi yangu hii kwa ufanisi mkubwa.

Naamini hakuna kazi nzuri kuliko nyingine wala kazi isiyo na pesa isipokuwa kujituma na kufanya kazi kwa bidii ndiko kutakuletea mafanikio unayoyawazia mbeleni. Nidhamu na uchapa kazi ndio silaha yangu.

Friday, June 15, 2012

Karibia mitihani huwa na foleni kubwa sana kwa mhasibu kwa waliochelewa kulipa ada.Hawa ni sehemu ya foleni kwa mhasibu Makuhana chuoni Tumaini

Hii ni moja ya kumbi za kisasa za mihadhara chuoni Tumaini Iringa