Saturday, June 23, 2012

 Mimi ni John Alex.Nachukua shahada yangu ya kwanza ya uandishi wa habari lakini pia naitumia taaluma yangu.Naipenda sana kazi yangu.Kila kukicha napata mawazo mapya  ya namna gani nitaifanya kazi yangu hii kwa ufanisi mkubwa.

Naamini hakuna kazi nzuri kuliko nyingine wala kazi isiyo na pesa isipokuwa kujituma na kufanya kazi kwa bidii ndiko kutakuletea mafanikio unayoyawazia mbeleni. Nidhamu na uchapa kazi ndio silaha yangu.

No comments:

Post a Comment