Sunday, June 24, 2012

Hapa wanakwaya wa kwaya ya Mt.Jerome wakisikiliza kwa makini jambo kutoka kwa Mwenyekiti wao.

 Hapa Mwenyekiti wa kwaya ya Mt.Jerome akinena jambo wakati wa hafla hiyo fupi.

 Kulifuatiwa pia zoezi la ugawaji wa vyeti ambapo Mgeni rasmi katika hafla hiyo fupi ,Rais wa serikali ya wanafunzi Tumaini Mr.Mauna Chuma aligawa vyeti kwa waagwa ambao ni wanakwaya wa mwaka wa tatu.
 Zoezi likiendelea

 Hapa dada Akwinata alikuja na staili yake kama anavyoonekana tofauti na wengine kidogo

 Dah nitakumiss sana bro!!
" Kaka kweli unaondoka?!"
" Haya kila la kheri bwana!!"
 Ili  itifaki izingatiwe mdada huyu ilibidi apewe vyeti viwili kwa sababu wapo wawili.
 "Dah saaafi sana"
" Hili litakua pozi zuri"


" Subiri tupige kwanza picha ndio uondoke dada"

 Hapa zoezi limekamilika MC.TEMBA anavuta punzi kuendelea na ratiba
 Njoo nikunongoneze kidogo.
 Zoezi likaendelea kama ilivyoratibiwa.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya wakatoliki tumaini hakukaa kimya.
Waziri mkuu naye alikuwemo mjengoni na yeye hakusita kuonyesha hisia zake kwa kijana Maluli.

No comments:

Post a Comment