Wakiwa katika pozi ni wahitimu wa shahada ya kwanza ya uandishi wa habari mara baada ya kuhitimu na kupewa vyeti vyao
.Jamani chuo kikuu si lelemama kama wengi wanavyofikiria, na ukimuona mwenzio kamaliza basi ujue kavumilia kweli!Wahenga walisema ukimuona nyani kazeeka basi huyo kakwepa mishale mingi lakini kwa dunia hii ya leo mishale haitumiki kwa hiyo tunasema, ukiliona Jinyani limezeeka basi risasi kazikwepa kweli kweli!!
No comments:
Post a Comment